Msanii Zenji One amempongeza Rais Dk. Hussein Mwinyi kwa kutekeleza vema Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kila sekta, pia kwa kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar 2025-2030 na kuahidi kuendelea kutangaza kazi nzuri anayoendelea kufanya na kushiriki katika hamasa za kampeni katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Zenji One Ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar leo, Aprili 23, 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Msanii Zenji One Ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar leo, Aprili 23, 2025.
![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahi baada ya kusalimiana na Msanii Zenji One Ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar leo, Aprili 23, 2025. |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇