Jun 28, 2025

KUMEKUCHA JIMBO LA BUSOKELO; ANDENGENYE AINGIA RASMI

 CGF (Rtd) Mhe. Thobias Andengenye rasmi amechukua fomu kuwania kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Busokelo kupitia CCM.

Busokelo ni jimbo lenye kata 13 linalopatikana Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages