Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika (COOP BANK), Godfrey Ng'urah akizungumza na waandishi wa habari katika Banda la benki hiyo jijini Dodoma Agosti Mosi, 2025 kuhusu mambo makubwa watakayoyafanya wakati wa Maonesho ya ya Kitaifa na Kimataifa ya NaneNane yaliyofunguliwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango kwenye viwanja vya Nzuguni Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇