LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 2, 2025

WAGOMBEA KUNDI LA WENYE ULEMAVU WATENDEWA HAKI UCHAGUZI WA VITI MAALUMU UWT

Watu wenye  ulemavu kusikia ambao baadhi yao ni wagombea ubunge Viti Maalumu  wakitafsiriwa kwa lugha ya alama wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Makundi kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania (UWT) Taifa kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Agosti 2, 2025.


Ikupa Alex akiomba kura ya ubunge wa Viti maalumu Tanzania Bara.
Dkt. Ummy Nderiananga akiomba kura kwa wajumbe.

Veronica Timotheo mwenye ulemavu wa kuona akiomba kura kwa wajumbe ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203







 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages