Jun 28, 2025

CHONGOLO: NAMSHUKURU MUNGU NIMECHUKUA, NIMEREJESHA FOMU MAKAMBAKO


 "Namshukuru Mungu, nimefanikiwa kuchukua na kurejesha fomu salama za kuomba ridhaa ya Ubunge katika jimbo la Makambako mkoani Njombe. Lengo ni utumishi, na kwa hakika nipo tayari."  ##NaendeleaKujifunza

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages