LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2025

ALIYEKUWA MKURUGENZI MBEYA AJITOSA UBUNGE NYASA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, John John Nchimbi,leo Juni 28,2025 amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyasa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao, Ndugu John amechukua fomu hiyo kwenye Ofisi kuu ya Chama Cha Mapinduzi wilaya ya  Nyasa  mkoani Ruvuma.


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages