Apr 24, 2025

BAJETI OFISI YA RAIS MIPANGO SH. BIL. 144 YAPITISHWA


 Baadhi ya wabunge wakimpongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitilla Mkumbo baada ya Bajeti ya ofisi hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2025/2026 kupitishwa kwa kauli moja bungeni Dodoma Aprili 24, 2025.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages