May 8, 2025

RAIS DK. SAMIA AMPOKEA IKULU, MGENI WAKE RAIS CHAPO WA MSUMBIJI, LEO

 

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo wakipokea salam za heshima za Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishuhudia wakati mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akisaini kitabu cha wageni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo akiwa pia na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages