May 8, 2025

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage mkoani Dodoma leo tarehe 08 Mei 2025.

Wajumbe wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango wakati akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kambarage mkoani Dodoma leo tarehe 08 Mei 2025. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages