May 9, 2025

SERIKALI YAAHIDI KUANZA UJENZI WA CHUO CHA UTALII NJOMBE


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameikomalia serikali bungeni Dodoma Mei 9, 2025 kwa kuihoji kwamba lini wataanza ujenzi wa Chuo cha Utalii eneo la Uwemba mkoani Njombe?

Swali hilo limeulizwa kwa niaba yake na Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Mgaya katika kipindi cha maswali bungeni.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages