WAZIRI MKUU AZINDUA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA MJINI KIGOMA, WAPIGA KURA WAPYA ZAIDI YA MILIONI 5 KUANDIKISHWA
Uwanja wa Kawawa, Kigoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga ...