LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 20, 2024

LUKUVI MSHAURI WA RAIS AWASALIMIA MACHIFU

Mshauri wa Rais wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mbunge wa Isimani, William Lukuvi akizungumza na machifu wa Mkoa wa Kagera wakati wa mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan (Chifu Hangaya) na machifu wa mikoa 26 nchini Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma Julai 20, 2024. Pia Lukuvi alipata wasaa wa kupita kila meza kuwasalimia machifu wa mikoa mingine nchini.





 Mshauri wa Rais wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mbunge wa Isimani, William Lukuvi akisalimiana na machifu wa Mkoa wa Iringa wakati wa mkutano huo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages