LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 20, 2024

RAIS DK. SAMIA (CHIFU HANGAYA) AZUNGUMZA NA MACHIFU WA MIKOA MBALIMBALI, IKULU, CHAMWINO, DODOMA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwasalimia baadhi ya Machifu kutoka Mikoa mbalimbali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Julai, 2024.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwasalimia baadhi ya Machifu kutoka Mikoa mbalimbali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Julai, 2024.

Viongozi wa Machifu Tanzania walipokuwa wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Julai, 2024.
Baadhi ya Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini walipokuwa kwenye Viwanja vya Ikulu Chamwino kwa ajili ya kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 20 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa na Viongozi wa Machifu Kitaifa, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Julai, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages