LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 1, 2023

'TRAFFIC LIGHTS' ZAUPENDEZESHA MJI WA MASASI+video


 Makao Makuu ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, ikipendeza baada ya kuwekewa taa za kuongozea magari (Traffic Lights) kama inavyoonekana katika video clip hii iliyopigwa hivi karibuni katika mji huo maarufu katika mikoa ya kusini.

Ni wilaya chache nchini zimewekwa taa za aina hiyo kwa lengo la kurahisisha uongozaji wa vyombo vya usafiri pamoja na wananchi.

Mdau, nakuomba uendelee kuangalia kupitia clip hii ya video, Traffic Lights zinavyofanya kazi katika mji huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages