LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 27, 2025

DKT. NCHIMBI AKIAGANA NA DKT. MPANGO

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na kuagana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya   Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdory Mpango, baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa. 


Mkutano huo ulioongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ulifanyika kwa njia ya mtandao katika Ukumbi wa Mikutano wa NEC, Makao Makuu ya CCM, Jumamosi tarehe 26 Julai 2025, jijini Dodoma.





 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages