LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 28, 2025

KAMATI YA USALAMA NA MAADILI CCM YAKESHA KUCHUJA WAGOMBEA LEO JULAI 28, 2025

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, aliongoza Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama, kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma, leo Julai 28, 2025, saa 8 usiku.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages