Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichofanyika leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dk. Hussein Mwinyi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichofanyika leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Walioketi kulia na kushoto ni Wajumbe wa Kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwekyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi, akiwa makini kwenye kikao hicho.
Wajumbe wakiwa kwenye Kikao hicho. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenzi Sophia Mjema.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, akienda ukumbini kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichofanyika leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwekyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi, akienda ukumbini kwenye kikao hicho. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇