Wabunge
(waliovaa sketi nyeupe) wakichuana vikali na wauguzi wa Hospitali Ya
Benjamini Mkapa katika mchezo wa kirafiki wa mpira wa pete kwenye Uwanja
wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 5,2021. Timu ya Bunge iliibagaza Benjamin
Mkapa 25-16. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Jun 6, 2021
Home
featured
Michezo
MECHI YA NETIBOLI YA KUKATA NA SHOKA KATI YA WABUNGE NA WAUGUZI WA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA
MECHI YA NETIBOLI YA KUKATA NA SHOKA KATI YA WABUNGE NA WAUGUZI WA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA
Tags
featured#
Michezo#
Share This

About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇