Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa ameishauri serikali kuboresha huduma ya tiba kwa wazee na kutowalipisha watoto chini ya miaka mitano wanapopelekwa kupata tiba, lakini pia ameiomba serikali kuuenzi Mkoa wa Mara anaotoka mwasisi wa Taifa, Hayati Julius Nyerere kwa kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mara.
Mbunge huyo ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto bungeni
Dodoma.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Mbunge Agnes Marwa akiwapambania wazee, watoto na kukamilishwa kwa Hospitali ya Mkoa wa Mara....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇