LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 13, 2020

MATUKIO YA HAPA NA PALE BAADA YA RAIS DK. MAGUFULI KUZINDUA RASMI BUNGE LA 12, BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO

Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi baada ya kuzindua Rasmi Bunge la 12 kwa kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, leo, Bungeni jijini Dodoma. Kushoto ni  Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, akiwatazama kwa bashasha.
Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kuzindua Rasmi Bunge la 12 kwa kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, leo, Bungeni jijini Dodoma.  Katikati ni Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassani Mwinyi na Kushoto ni  Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Rais Dk. John Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Rais wa zanzibar Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi na Spika wa Bunge Job Ndugai, baada ya kulihutubia Bunge na kulizindua rasmi, leo Bungeni jijini Dodoma,


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages