Apr 8, 2025

KAWAWA AZIDI KUWAPAMBANIA WANANCHI WA NAMTUMBO

Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa akiihoji serikali bungeni Dodoma Aprili 8, 2025 kwamba ni lini itapeleka magari ya wagonjwa katika vituo vya afya vilivyo mbali na Makao Makuu ya Wilaya ya Namtumbo?

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages