Apr 6, 2025

TUTAMSAIDIA RAIS WETU KWA UAMINIFU MKUBWA - DKT NCHIMBI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Mji wa Mbamba bay, wilayani Nyasa, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Bandari, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tano katika Mkoa wa Ruvuma.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages