RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Mradi
wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la
Kinyasini Kisongoni akiwa na Project Manager wa Kampuni ya Kolon.Ndg.
Cho Kwang Lae, hafla hiyo imefanyika kinyasini kisongoni Wilaya ya
Kaskazini “A” Unguja, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya
Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Maji.Ndg.
Haji Hamad Salum akitowa maelezo ya Mradi Kilimo cha Umwagiliaji Maji,
wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Miundombinu ya Kilimo cha
Mpunga wa Umwagiliaji Maji unaojengwa katika eneo la Kinyasini Kisongoni
na Kampuni kutoka Nchini Korea ya KOLON –HANSOL JV. Ikiwa ni
shamrashamra za sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika eneo hilo la mradi Wilaya ya
Kaskazini “A” Unguja leo 2-1-2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Kilimo cha
Umwagiliaji Maji Ndg. Haji Hamad Salum, akitowa maelezo ya Ujenzi wa
Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Umwagiliaji wa Maji unaofanyika
katika Kijiji cha Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja,
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi.Mhe.Mmanga
Mjengo Mjawiri na Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi
Mhe.Dkt. Makame Ali Ussi. Wakiwa katika eneo la ujenzi huo.(Picha na
Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Kilimo cha
Umwagiliaji Maji Ndg. Haji Hamad Salum, akitowa maelezo ya Ujenzi wa
Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Umwagiliaji wa Maji (kulia kwa
Mkurugenzi) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali
Iddi,wakiwa katika eneo la ujenzi wa Mradi huo katika Kijiji cha
Kinyasini Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, (kushoto kwa Rais)
Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri na
Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt. Makame Ali
Ussi. Wakiwa katika eneo la ujenzi huo.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Miundombinu
ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji katika eneo la Kinyasini
Kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja ikiwa ni shamrashamra za
kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kulia kwa Rais) Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga
Mjengo Mjawiri.(Picha na Ikulu)
ENEO
la Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji
Maji katika eneo la Kinyasini Kisongo, wakandarasi wa Kampuni ya KOLON
HANSOL JV kutoka Nchini Korea wakiendelea na ujenzi huo.(Picha na Ikulu)
WANANCHI
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo
Maliasili Mifugo na Uvuvi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo
pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika kijiji cha kinyasini
kisongoni Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja.(Picha na Ikulu)
KATIBU
Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam
Juma Mabodi akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Mradi huo wa
Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji, wakati wa hafla ya
uwekaji wa jiwe la msingi ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 56
ya Mapinduzi ya Zanzibar.
NAIBU
Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Exim ya Korea Ndg.Kang Sangjin akitowa
salamu za Kores Eximbank wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi
la Mradi wa Miundombinu ya Kilimo cha Mpunga wa Umwagiliaji Maji
unaojengwa na Kampuni ya Kolon –Hansol Jv kutoka nchini Korea.(Picha na
Ikulu)
WAZIRI
wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri
akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa
shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇