May 5, 2025

JAJI MKUU ZANZIBAR NA NAIBU WAZIRI SAGINI WAKUTANA KWENYE UZINDUZI KAMPENI YA MAMA SAMIA PEMBA

 

Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamisi Ramadhani Abdalla akisalimiana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Bara Jumanne Sagini katika Uwanja wa Bustani ya Mwanamashungi leo Mei 5, 2025, baada ya kuwasili kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoa wa Kusini Pemba

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages