Mufti wa Tanzania Abubabakary Zubery
Napenda kuchukua fursa hii kusema kuwa mwezi umeonekana maeneo mbalimbali ikiwemo Lam, Mombasa, Nawapa mkono wa Eid el fitri Waislamu kote Duniani ambao wamehitimisha Ibada ya mwezi mzima wa mfungo mtukufu wa Ramadhan. Pia napenda kuchukua fulsa hii kuwakumbusha kuchukua tahadhari wote tukumbuke maagizo tunayo pewa na Serikali kupitia Wataalamu wake wa Afya kuendelea kuchukua maelekezo juu ya ugonjwa hatari wa CORONA. Na
Kupitia maombi yenu Mwenyezi Mungu atuondolea ugonjwa huu.
May 23, 2020
MUFTI WA TANZANIA AWATAKIAKIA WAISLAMU WOTE DUNIANI SIKU KUU NJEMA
Tags
featured#
Habari#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇