LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 23, 2020

MUFTI WA TANZANIA AWATAKIAKIA WAISLAMU WOTE DUNIANI SIKU KUU NJEMA

  Mufti wa Tanzania Abubabakary Zubery

Napenda kuchukua fursa hii kusema kuwa mwezi umeonekana maeneo mbalimbali ikiwemo Lam, Mombasa,  Nawapa mkono wa Eid el fitri Waislamu kote Duniani ambao wamehitimisha Ibada ya mwezi mzima wa mfungo mtukufu wa Ramadhan. Pia napenda kuchukua fulsa hii kuwakumbusha kuchukua tahadhari wote tukumbuke maagizo tunayo pewa na Serikali kupitia Wataalamu wake wa Afya kuendelea kuchukua maelekezo juu ya ugonjwa hatari wa CORONA. Na 
Kupitia maombi yenu Mwenyezi Mungu atuondolea ugonjwa huu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages