Dk. Bashiru Ally
KIBAHA, PwaniKatibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally amekemea watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha jamii na hata kufikia hatua ya kuzua vifo kwa wengine, kama alivyofanya anayejiita Kigogo2014 katika mtandao wa twitter alipotoa taarifa za uongo za kifo cha Mtendaji wa Jumuiya ya CCM wilayani Rombo.
Ameyasema hayo alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la CCM mkoa wa Pwani leo tarehe 23 Mei, 2020 akitokea Dar es salaam kuelekea Makao Makuu ya Chama na Serikali Dodoma.
Imetolewa na;
Said Said Nguya
Afisa Habari
Ofisi ya Katibu Mkuu
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇