Jun 19, 2025

SERIKALI YAAHIDI KUANZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA UWEMBA


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka Serikali ieleze lini itatekeleza ujenzi wa mradi wa Maji katika Mtaa ya Uwemba mkoani Njombe? Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 19, 2025.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages