Jun 19, 2025

NJEZA AIBANA SERIKALI KUHUSU FIDIA KWA WANAOPISHA UJENZI WA BARABARA YA MCHEPUO YA MLIMA NYOKA

 


 Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza ameihoji Serikali bungeni Juni 19, 2025, kwamba lini itajenga barabara ya mchepuko ya Mlima Nyoka kutoka Uyole hadi Songwe?

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages