Askofu Mkuu wa Kanisa la Assemblies of God la Ipagala jijini Dodoma, Dk. Evance Chande amewaomba watanzania kutomdharau Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwani madaraka aliyonayo amepewa na Mwenyezi Mungu, hivyo kinachotakiwa ni kumuombea aliongoze vyema Taifa hadi muda wake utakapomalizika.
Dk. Chande ameyasema hayohivi karibuni alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kanisani kwake ambapo pia amewaomba watanzania kuendelea kudumisha amani na utulivu wa Nchi pamoja na kuwaombea viongozi waliopo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇