LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2025

DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA MISHENI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI YA UMOJA WA AFRIKA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM) ulioongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana na Kiongozi wa Misheni hiyo, Mhe. Mokgweetsi Masisi, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2025.




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages