LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 1, 2024

DK. NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA ABOUBAKARY LIONGO

 Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi leo Octoba 01, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.


Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu)pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali akiwemo Tido Mhando, Issa Michuzi pamoja na Viongozi wengine wa Chama na serikali.

Dk. Nchimbi akimfariji Abubakar Liongo.

Dk. Nchimbi akitia saini kwenye kitabu cha rambirambi.
Dk. Nchimbi akizungumza jambo na  Mwanahabari Mkongwe Muhidini Michuzi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ithibati ya Habari, Tido Mhando akitia saini kwenye kitabu cha rambirambi.


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages