Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikabidhiwa nyaraka mbalimbali za Ofisi ya Makamu wa Rais, kutoka kwa mtangulizi wake, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 04 Novemba 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiombewa
na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango, mara baada ya makabidhiano ya Ofisi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo
tarehe 04 Novemba 2025.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
akikabidhiwa nyaraka mbalimbali za Ofisi ya Makamu wa Rais, kutoka kwa
mtangulizi wake, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Philip Mpango, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 04 Novemba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada ya makabidhiano ya Ofisi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 04 Novemba 2025.


.jpg)
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇