LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2025

RAIS SAMIA AKABIDWIWA NYARAKA TAYARI KWA MAJUKUMU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.







 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages