LATEST HEADLINES๐Ÿ‘‰

Your Ad Spot

Feb 22, 2024

LUGANGIRA AMUUNGA MKONO RAIS KAMPENI YA KULINDA MAINGIRA AGAWA MITUNGI 700 YA GESI BUKOBA MJINI
Katika jitihada za kuunga mkono jitihada za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi na Salama ya kupikia,  21 Februari 2024 Bukoba Mjini; Mhe Neema Lugangira amezindua Awamu ya Pili ya Kampeni yake ya “Pika kwa Gesi, Tunza Mazingira” kwa kushirikiana na Shirika la Agri Thamani na Oryx Tanzania ambapo jumla ya Mitungi 700 imetolewa kwa Mama Lishe, Walimu, Viongozi wa Dini na Mabalozi wa CCM. 


Aidha, Elimu ya Nishati Safi na Salama ya Kupikia pia ilitolewa na Mgeni Rasmi alikuwa Mhe Fatma Mwasa, Mkuu wa Mkoa wa Kagera aliyewakilishwa na Mhe Erasto Sima, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO๐Ÿ‘‡

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages