LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 3, 2024

KAMATI TENDAJI MAMLAKA YA USIMAMIZI BONDE LA ZIWA TANGANYIKA (LTA) YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM


 

Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bonde la Ziwa Tanganyika (LTA) Godwin Fishani Gondwe akifungua Mkutano wa Kamati ya Ushauri ya Usimamizi wa Ziwa Tanganyika wa kujadili kuongezeka kwa kina cha maji ya Ziwa Tanganyika na ufumbuzi wake, unaofanyika jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 03, 2024. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bonde la Ziwa Tanganyika (LTA) Bw. Sylvain Mukanga

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages