May 11, 2025

RAIS SAMIA AWAONGOZA WANANCHI KUUAGA MWILI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS NA WAZIRI MKUU MSTAAFU MSUYA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei, 2025.


Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuwaongoza Watanzania kuaga mwili wa Hayati Msuya. 






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages