LATEST HEADLINES👉

May 12, 2025

SHULE YA BUNGE WASHIRIKI KUSIKILIZA MJADALA WA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU BUNGENI

Wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Sekondari ya Bunge iliyopo Kikombo mkoani Dodoma wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Habari wa Bunge, Patson Sobha kuhusu taratibu za bunge walipotembelea bunge hilo wakati wa majadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mei 12, 2025.

Shule hii ilijengwa kwa msaada wa michango ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.






 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages