LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 22, 2024

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI TANGA KUPITIA HATI FUNGANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga, leo, Februari 22, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip 
Mpango akizungumza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga, leo, Februari 22, 2024.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages