Sep 21, 2023

MUFT SHEIKH MKUU WA TANZANIA DK. ABOUBAKAR ZUBERY BIN ALLY NCHINI UINGEREZA, LEO

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Aboubakar Zubeiry bin Ally akiwa na Mkurugenzi Dkt. Farhan Nizami pamoja na Imamu Ibrahim Amin wa Chuo Kikuu cha Oxford huoo Oxfordshire, km 80 Kaskazini-Magharibi ya London leo


Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania, ambaye amelakiwa kwa furaha na viongozi wa Waislamu nchini humo yupo ktk ziara ya siku 10 nchini Uingereza amefika hapo Oxford kwa ajili ya kuombea nafasi za scholarship za masomo mbalimbali kwa vijana wa Kitanzania.


Mojawapo ya ratiba za Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania ni kukutana na Watanzania na Wawekezaji ambao wameonesha nia ya kuleta maendeleo nchini Tanzania. Picha na Ali Muhidin

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages