Jun 21, 2025

CHATANDA ASHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCMTanzania (UWT) akishiriki katika Tamasha la Utamaduni wa Wasukuma la Bulabo ambalo mgeni rasmi alikuwa Chifu Hangaya Rais Samia Suluhu Hassan wilayani Magu, Mwanza Juni 21, 2025.











 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages