Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Wafanyakazi, Dkt. Alice Kaijage akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali bungeni Dodoma Juni 19, 2025, amesema kuwa kwa maboresho makubwa aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi nchini, wameahidi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇