Meya wa Manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge (Katikati) akizungumza na mmoja wa manusura wa Barabara inayotengenezwa ya Mwananyamala shule kutokea Ndugumbi, Muksin Mohamed (kulia) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya barabara hiyo leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisiwani, Juma Ally na Diwani wa Kata ya Makumbusho, Mohamed Mohamed.
Sep 21, 2022
Home
featured
habari picha
MEYA KINONDONI SONGORO MNYONGE AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA NDUGUMBI-MWANANYAMALA, LEO
MEYA KINONDONI SONGORO MNYONGE AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA NDUGUMBI-MWANANYAMALA, LEO
Tags
featured#
habari picha#
Share This

About Bashir Nkoromo
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇