Apr 3, 2025

DKT. NCHEMBAAFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SACE NCHINI ITALIA

 

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Italia (SACE), Bi. Alessandra Ricci, Mjini Rome, ambapo ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya mkopo wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha Kwanza na cha pili kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma hadi Makutupora mkoani Singida, ambavyo ujenzi wake umekamilika na treni kuanza kutoa huduma kuanzia Dar es salaam hadi Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Rome, Italia)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages