Mar 25, 2025

RAIS MSTAAFU KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA SENEGAL

 RAIS Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete,  24 Machi 24, 2025, amewasilisha Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Senegal, Mhe. Bassirou Diomaye Faye katika Ikulu ya Rais huyo jijini Dakar, Senegal.








 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages