LATEST HEADLINES👉

Mar 24, 2025

RAIS SAMIA AFUURISHA VIONGOZI WA SIASA, SERIKALI, DINI NA MAKUNDI MAALUMU PEMBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 24 Machi, 2025.


Viongozi wa dini, wazee wa mkoa wa Kusini Unguja, wageni kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 24 Machi, 2025.





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages