LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 21, 2022

RC SENYAMULE AZINDUA NAMBA YA SIMU YA MAWASILIANO NA WANANCHI KUTATUA KERO SIKU ZA SENSA +video


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule aakizungumza kuhusu maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 23, 2022 yamekamilika kwa asilimia 98, ambapo pia amezindua namba maalumu ya ya bure ya kuwasiliana na wananchi kwa lengo la kutatua kero mbalimbali wakati wa zoezi la sensa. Amefanya uzinduzi huo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Agosti 21, 2022.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo.


PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule akielezra kuhusu maandalizi hayo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages