LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 16, 2022

MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZATINGA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akipokea Mwenye wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba tayari kuanza kukimbizwa  mkoani humo kuanzia leo Jumanne Agosti 16, 2022.

Wakati wa Mbio hizo za Mwenge kutakuwa na uwekaji mawe ya msingi, ukaguzi na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. 







 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages