Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho uliofanyika kwa njia ya Mtandao katika ukumbi wa mkutano wa NEC (White House) Makao Makuu ya CCM, Jijini Dodoma tarehe 26 Julai, 2025. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mkutano huo Mkuu kwa mara ya kwanza kwa njia ya mtandao na kuwakutanisha Wajumbe wote wa Mkutano huo kote nchini.
Your Ad Spot
Jul 26, 2025
Home
featured
siasa
MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. SAMIA AONGOZA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, JIJINI DODOMA KIGITALI

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇