Jan 12, 2022

DKT KAMANI ANENA JAMBO AKICHUKUA FOMU YA KUOMBA KUWANIA USPIKA+video

Waziri wa zamani wa Maendeleo ya Mifugo, Dkt Titus Kamani amekabidhiwa fomu na Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni ya CCM, Bw. Solomon Itunda kwa ajili ya kuomba nafasi ya kuwania uspika katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM Dodoma leo Januari 12,2022. Hadi ya leoJanuari 12, 2022 jumla ya wanachama 30 wamemechukua fomu kuomba kuwania uspika. Kulia ni Cathbert Midala Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi CCM.

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue alichoahidi Dkt Kamani akipata ridhaa ya kuongoza Bunge....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages